Tuesday, 30 June 2015

Angalia video mpya ya Alikiba inayoitwa Chekecha Cheketua.


FAHAMU SABABU YA VIJANA KUJIUSISHA NA MADAWA YA KULEVYA.





Makala Ya Uchambuzi Wa Habari Za Kijamii.Leo Hii Tunazungumzia Vijana Na Madawa Ya Kulevya,ni Nini Kinacho Sababisha Mpaka Vijana Wanaingia Kwenye Mtandao Wa Madawa Ya Kulevya.Tukiangalia Kwa Sasa Hivi Vijana Wengi Wanapotea Bila Ya Kujali Taifa Linataka Nini,vijana Ni Nguvu Kazi Ya Taifa.Hata Kwa Serikali Nayo Inakosa Kuangalia Vijana Wanataka Kufanyiwa Nini Ili Kujenga Taifa La Leo Na La Kesho,wanacho Angalia Wao Ni Maslahi Yao Tu.Kumbe Wanakosa Kuangalia Vijana Ndio Wanaolinda,kujenga Na Kukuza Uchumi Wa Taifa Letu.Madawa Ya Kulevya Yanaathiri Taifa Kwa Ujumla Je! Tuna Athirika Vipi?
MUANDAAJI WA MAKARA HII NI MRS SHEIRA
PHONE NUMBER:0714416067

Monday, 29 June 2015

Fahamu wasanii waliochukuwa tuzo za BET hapa.

Walio ng'aaa BET awa hapa.
Sam smith

Nicki Minaj

Terrence Horwad

Chris Brown
Janet Jackson

bet
 

HABARI MOTO:Zanzibar mwandishi wa Habari apigwa na kuumiza vibaya na Polisi, alikuwa akichukua Habari katika kituo cha Uandikishaji wapiga kura.




Mwandishi wa Habari kwa jina Omar Ali mzaliwa wa Mkoani Kangani kisiwani Pemba, jana mida ya asubuhi ameshambuliwa na kupigwa vibaya sana na jeshi la Polisi Zanzibar na kutupwa maeneo ya Maisara mjini Zanzibar.

Mwandishi huyu alikuwa anachukua habari kutoka kituo cha uandikishaji dafatari la kudumu maeneo ya Migombani Zanzibar na polisi hao inasadikiwa walisema ni mwandishi wa Chama cha Wananchi CUF na ndipo walipomshika na kuanza kumpiga vibaya sana na kumvunja miguu kama anavyoonekana kwenye picha akiwa hospital mahutui miguu ikiwa imevujika.

YALIYOJILI:DIMBANI YUPO NJIANI KUELEKEA EMIRATES(ON THE WAY TO EMIRATES.




kiungo wa Juventus Artruro Vidal, 28, anaonekana kujiandaa kuhamia Arsenal msimu huu (Daily Telegraph)

ANGALIA VIDEO MPYA YA AYAYA Navio ft Mr Blue.


Ona kipande cha video ya nyimbo chekechua ya Ally Kiba.


Sunday, 28 June 2015

YALIYOJILI:Burundi inafanya uchanguzi wake hii leo.



Siku ya leo raia wa Burundi  wanapiga kura kuchagua wabunge,Umoja wa Afrika wasema hautapeleka waangalizi wake wa uchaguzi nchini humo.