Thursday 25 June 2015

About Us

Hebron Johana Malele alizaliwa Arusha November 08 akiwa ni mtoto wa mwisho kwenye famili ya watoto watano ya Johana Malele ambae ni Msafa Mbeya, ni mfanyabiashara baba mutunza fedha na mama Malele ni Fundi wa nguo.

Hebron ni kijana ambaye amemaliza elimu ya chuo .

Hebron ni kijana ambaye anaonekana ni kijana kwenye kipaji cha kutengeneza Blog,Business Card na Benner.Ata hii Blog ni yeye aliyetengeneza.

Hebron anatoa uduma ya kutengenea Blog,Business Card na Benner. kwa mawasiliano zaidi Call:+255659994437.



Hebron Malele,
Mandera Road,
P.O. Box 7583 , Dar es Salaam
Phone number:0659-994-437
E-mail: hebronjohana@yahoo.com

0 comments:

Post a Comment