Friday 31 July 2015

Download nyimbo mpya ya HEMEDY PHD-IMEBAKI STORY.


Angalia Video mpya ya HEMEDY PHD-IMEBAKI STORY.


Fahamu jinsi ya kutengeneza Gaden ya taili ya katapila hapa.



Atua ya kwanza unachukua taili na kulichimbia.
Atua ya pili unachukua taili na kulichimbia likiwa na limevishwa nailoni

Atua ya tatu taili linaekewa mawe


Atua ya mwisho ni  ndani ya taili kuweka maji na ulembo mwingine.

#‎BREAKING‬ NEWS>>Hatimaye goal lamkono lazuiwaaaaaa baada ya Nape Nnauye kukamatwa kwa rushwa.




NAPE 'MBARONI': Takukuru yamshikilia Katibu Mwenezi CCM Nape Nnauye, yamhoji kwa saa 5 Lindi, adaiwa kutaka kuwahonga wajumbe Mtama, anakoomba kugombea ubunge.

Chanzo: Mwananchi