Wednesday 29 July 2015

#YALIYOJIRI>>>Mtoto mdogo apandikizwa mikono huko Marekani.




Saa 3 zilizopita
Zion Harvey ni mvulana mdogo kuwahi kufanyiwa upasuaji wa upandikizaji mikono kutoka Marekani.Alitaka kufanyiwa upasuaji huo ili kumchukua dadaake.Hii imetokea baada ya nchi ya South Africa kufanya jalibio la kupandikiza uhume kwa jinsia ya kiume,

0 comments:

Post a Comment