Sunday 19 July 2015

#YALIYOJIRI>>>Mhariri wa gazeti Mtanzania achukua fomu ya Ubunge Chemba.



Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania,Khamis Mkotya akipokea fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Ubunge katika wilaya ya Chemba kutoka kwa Katibu wa Wilaya hiyo CCM, Asia Mohammed jana katika ofisi za chama hicho wilayani Kondoa.




Mhariri Msanifu wa gazeti la mtanzania Khamis Mkotya akionesha fomu alizokadhiwa jana katika ofisi za chama hicho Wilayani Kondoa za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa na Chama cha Mapinduzi kugombea Ubunge katika Jimbo la Chemba. 
Chanzo
               ( http://www.wavuti.com)

0 comments:

Post a Comment