Friday 31 July 2015

#BREAKINGNEWS>>>>Msanii wa bongofleva Shilole amefungiwa na Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) kuto jiusisha na muziki wala kuonekana kwenye jukwaa lolote kipindi cha mwaka mmoja.


Katibu Mtendaji wa BasataTanzania Bwana Godfrey Mngereza amesema Kosa alilofanya shilolekiuno ni uvunjifu wa maadili


0 comments:

Post a Comment