Saturday 25 July 2015

#YALIYOJIRI>>>Mokeo ya kura za maoni Chadema haya hapa.




Yafuatayo ni matokeo rasmi ya kura za maoni kwenye majimbo kama yanavyofanyika.Tutaendelea kuwaletea matokeo kila siku kadiri tutakavyokuwa tunayapata.
Matokeo ya kura za maoni Jimbo Mlalo mkoa wa Tanga
Kelvin Shemboko 56
Lewis E. Kopwe 31
Jumanne M. Pazia 15
Mkazeni Y. Mkazeni 00

Matokeo ya kura za maoni Jimbo la Babati Mjini mkoa wa Manyara
Pauline Gekul 88
Gabriel Kimolo 14

Matokeo ya Kura za maoni nafasi ya Ubunge Jimbo la Rombo
Joseph Selasini 313
Masika Fratern 56
Hugho Kimario 01
Bernard Saanane 26
Dominick Tarimo 01

Matokea ya kura za maoni nafasi ya Ubunge Jimbo la Same Magharibi, uteuzi wa awali ni kama ifuatavyo;
Jonas Just Kadeghe 98
Christopher Shangwe Mbago 49
Gervas Eliemasha Mgonja 30
Elisifa Mbago Godson 15
Erick Charle Kazoka 02
Eric Joel Mhina 00

Matokea ya kura za maoni nafasi ya Ubunge Jimbo la Ukonga, uteuzi wa awali ni kama ifuatavyo;
Nixon Tugara 59
Asia Msangi Daudi 05
Benson Ntiruseswa 00
Deogratias Munishi 08
Deogratias Kalinga 00
Deogratias Mramba 05
Elly A. Dallas 15
Gasto G. Makwetta 01
Jamse D. Nyakisagane 00
Kalanga J Simbano 00
Lucas M. Otieno 06
Mwanaidi Ramadhani 00
Waitara M Mwikwabe 49

Matokeo ya kura za maoni Jimbo la Msalala
Paulo Malaika Ndundi 113
Peter Frank Machanga 49
Ezekiel Joseph Kazimoto 48
Emmanuel Godson Mbise 43
Francis Mpejiwa Makune 15
Vincent Manoni Mhagwa 10
Richard James Mabilika 01
Stephen Maige Bundala 00

Matokeo ya kura za maoni Jimbo la Butiama
Yusuf Kazi 202
Adam Taya 39
Issa Yusuf 31
Daniel Obeiya 03
Annicent Marwa 02
Lucas G. Ossoo 01
Marto Yohana 01

Matokeo ya kura za maoni Jimbo la Nkasi Kaskazini
Keissy Sudi 158
Triphone Simba 70
Stanley Khamsini 05

Matokeo ya kura za maoni Jimbo la Nkasi Kusini
Alfred Daniel Sotoka 70
Kaminga John Hyporito 39
Emmanuel Daniel Sungura 09
Edson Ndasi 04
Joseph Kitakwa 02

Matokeo ya kura za maoni Jimbo la Sumbawanga ni kama ifatavyo
Matokeo Baraka Lyimo 1
Eliud M. Mwasenga 0
Kassian Adriano Kaegele 28
Musa Ndile 9
James Raymond Kusula 0
Shadrack Enock Malila 277

Matokeo ya Kura za maoni jimbo la TEMEKE
Bernad Mwakyembe 89
Emmanuel Msuya 30
Samson Msambaza 1

Matokeo ya Kura za maoni Jimbo la Kinondoni
1.Mustapha Muro 47
2.Genera Kaduma 4
3.Francis Nyerere 0
4.Suzan Lyimo 32
5.Rosse Mushi 8
Agrey Mkwama 6

Kura za maoni jimbo la MBULU MJINI
1.BENARD ANDREW 06
2.NICODEMUS EATLAWE 04
3.PAULO SULLE 132
4.MUSTAPHA AKUNAAY 108

Viti Maalum
1.FLORA DAMIANO KIRWAY 38
2.SUZANA TIODORE MIGIRE 31

Kura za maoni jimbo la Mbulu Vijijini
1.MIKAEL PETRO AWEDA 163
2.AMANI PAUL GASERI 120

Viti Maalum
1.ELIANMINA JOSEPH SHISHI 54
2.VIOLET JACKSON MATIYA 08

Matokeo Kura za maoni Nyamagana
1.Wenje 168
2.Masagati 32

Matokeo Kura za Maoni Ilemela
Highness Kiwia kura 132, wagombea walikuwa 16, jumla kura zote ni 244.

Matokeo kura za maoni Rungwe Magharibi
1. John Mwambigija

Matokeo ya kura za maoni Mbeya mjini
1.Simbeye 6
2.Christopher Nyenyembe 12
3.Mwanjala 18
4.Lazaro Mwaikemwa 15
5.Joyce Mashine 43
6.JOSEPH MBILINYI 356

Matokeo kura za maoni Kisesa
1. William Masanja 270

Matokeo ya kura za Maoni - Kibaha Mjini
1. Michael P. Mtally (62)
2. Henry Msukwa (3

3. Isihaka Omary (31)
4. Joakim Mahege (13)
5. Bosco Mfundo (4)

Matokeo Jimbo la Nachingwea
1. Dr Mahadhi MMOTO 207
2. Thomas MMUNI 99
3. Nurdin MCHORA 28
4. Ramadhani CHIMBANGA 6.

Kura za maoni Jimbo la Serengeti:
1. Marwa Ryoba 280
2. Mokoro Rugatiri 4
3. Maguye Simon 8
4. John Mrema 1
5. Ramson Rutiginga 160

Matokeo ya kura za maoni jimbo la CHALINZE
1.CHACHA MACHERA 69
2. MATHAYO TORONGEI 53
3. YAHAYA MOHAMED 18

Matokeo ya kura za Maoni Dodoma Mjini
1. Benson Kigaila 155
2. Josephson Kihoja 20
3. Filbert Mhoja 01
4. Emmanuel Npio 00

MATOKEO JIMBO LA KARATU
1. Fransisco Duwe-0
2. Lazaro Massey-81
3. Paskal Gurti-0
4. Qamara Aloyce-4
5. Willy Qambalo-217

Matokeo Kura za Maoni Arusha
1. Godbless Lema - 255
2. Noel Ole varoya - 13
3. Nsajigwa - 6

Matokeo ya kura za maoni Viti maalum Arusha
1. Grace Macha -3
2. Joyce Mkya - 33
3. Glory -1
4. Aviola - 5
5. mazugu -1
6. Minja -1
7. Pamela - 0

Kura za maoni jimbo la Iramba Mashariki
1. Osca Kapalale 87
2. Elia Gunda 55
3.Juma Mwanga 43
4. George Gunda 33

Kura za maoni Tarime Vijijini
1. John Heche

Tarime Mjini
1. Esther Matiko

Matokeo kura za maoni Chadema Handeni vijijini
1.Haji Mwikalo(61)
2.Said Mbweto(21)
3.Johnson Mhando (7)

Matokeo ya kura za maoni Jimbo la Sengerema
1. Shejamabu - 182
2. Tabasamu - 85

Matokeo Jimbo la Simanjiro
James Kinyasi Millya amepata kura 102 za ndiyo, naza Hapana zilikua 5. hakuwa na mshindani.

Matokeo jimbo la Moshi Mjini
1. Eliakunda George kura 9
2.Japhary Michael kura 221

Viti maalumu kashinda Lucy Owenya.
Kutoka Jimbo la LIWALE
1. Lathifah Chande KIGWALILO amepita bila kupingwa nafasi ya Jimbo na Viti Maalum.

Matokeo ya kura za maoni Busanda
1.Alphonce Mawazo-205
2.Finias Magesa-126
3.Julius Marco-26

Matokeo Kura za maoni jimbo la Geita Mjini
1. Pascal Kimisha 44
2. William Musalaba 44
3. Luhenga 35
4. Upendo Peneza 12

Iramba Magharibi
1. Mshindi ni Jesca Kishoa

Matokeo ya kura za maoni jmbo la Kawe
Halima Mdee ameshinda kwa 99% hakuwa na mpinzani.Kura za hapana zilikua mbili.

Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA Jimbo la Nkenge
1.Valelian Rugarabamu kura 156
2.Salimu Abubakary 82
3.Meshaki Nicus 18
4.Samuel Rumanyisa 17
5.Thomas Matabaro 5

Matokeo ya kura za maoni jimbo la Singida Mashariki
Tundu Lisu...kura za ndio 320 hapana 0

Matokeo ya kura za maoni jimbo la Same Mashariki
1.Nagenjwa Kaboyoka 177
2.Onesmo Fue Fue 38
3.Nziacharo Makenya 3
4.Mch Charles Kanyika 3
5.Allan Mmas 1

Matokeo ya kura za maoni Jimbo la Hai
Freeman Mbowe amepata kura 269 za NDIO na HAPANA kura 05

Matokeo ya kura za maoni Jimbo la Ilala
1.Naomi Kaihula 34,
2.Muslim Hassanali 20,
3.Joyce Mgela 14
5.Anderson Ndambo 02
6.John B. Wangoma 01

Matokeo ya kura za maoni Jimbo la Mkuranga
1. Baraka S. Mwago 88
2. Oyeiko Ngeleja 46.
3. Olivia D. Mallonga 11
4. Sifa Majura 10


0 comments:

Post a Comment