Wednesday 22 July 2015

#YALIYOJIRI>>Ona alichokisema Diamond Platnum baada ya kuonana na wahandishi wa habari jana.




Mapema leo kwenye Mkutano wa Kuwashukuru Waandishi na Vyombo vya habari kwa Support waliyonipatia kuhamasisaha na kuwafikishia ujumbe mashabiki wangu pendwa kuweza kunipigia kura hadi kuweza kuitwaa tunzo ya #‎Mtvmama2015 ..Shukran Nyingi ziwafikie @TigoMusicTz kwa kuweza kuifanikisha Shughuri hii, TANSOMA BUSINESS HOTEL kwa kunipatia Ukumbi pamoja na Chakula...COCACOLA kwa kuweza kunipatia Vinywaji pasipo kuwasahau @fastjetofficial kwa kunisaidia kunisafirisha Mimi na team yangu nzima South Africa kwenye #Mtvmama2015 na kurudi salama Nchini Tanzania

0 comments:

Post a Comment