Friday 31 July 2015

#‎BREAKING‬ NEWS>>Hatimaye goal lamkono lazuiwaaaaaa baada ya Nape Nnauye kukamatwa kwa rushwa.




NAPE 'MBARONI': Takukuru yamshikilia Katibu Mwenezi CCM Nape Nnauye, yamhoji kwa saa 5 Lindi, adaiwa kutaka kuwahonga wajumbe Mtama, anakoomba kugombea ubunge.

Chanzo: Mwananchi

0 comments:

Post a Comment