Friday 24 July 2015

#YALIYOJIRI>>>>OBAMA HAWASILI NAIROBI HII LEO.


 RAISI WA MAREKANI AKIWA ANASHUKA KWENYE UWANYA WA KINYATA.
 UJIO WA OBAMA UMEWASILI NA KUKIWA NA USALAMA WA ALI YA JUU MPAKA WAANDISHI WA HABARI WANAPIGA PICHA KWA MBALI.
 OBAMA AKISAINI KITABU CHA WAGENI.
  OBAMA AKISAINI KITABU CHA WAGENI.
  OBAMA AKISAINI KITABU CHA WAGENI.
MSAFALA WA OBAMA UKIWA UNATOKA UWANYA WA NDEGE WA KENYANTA.

 HUU NDO MSAFALA WA RAISI OBAMA UKIWA UNATOKA UWANYA WA NDEGE KINYATA.
 OBAMA AKIWA NA MWENYEJI WAKE RAISI WA KENYA.
 Rais Obama hakuchelea kumkumbatia mwenyeji wake rais Kenyatta.
 Rais Obama akipokewa na dadake wa kambo bi Auma Obama na hata akamruhusu kusafiri naye ndani ya gari lake rasmi The Beast.
 Rais Obama akipokewa na dadake wa kambo bi Auma Obama na hata akamruhusu kusafiri naye ndani ya gari lake rasmi The Beast.

 Bi Sarah Obama na dadake wa kambo bi Auma Obama,wakiwa pamoja na Obama.



0 comments:

Post a Comment