Sunday 19 July 2015

#YALIYOJIRI>>Jionee mapokezi ya Magufuli nyumbani kwake Chato.




   Hapa hakiutubia wananchi.
  Huu ni ujio wa watu.
 Huu ni ujio wa watu.
  Hapa hakiutubia wananchi.
  Hapa hakiutubia wananchi.

 Hapa hakiutubia wananchi.
 Hapa jinsi watu walivyo jaa.


Hapa mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM ,Dkt John Pombe Magufuli akiwaaga Wananchi wa Chato waliojitokeza kwa wingi kumlaki, mara baada ya kumaliza kujitambulisha na kuwashukuru kwa kiasi kikubwa kwa kuchaguliwa kwake katika nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chake kuwania nafasi ya Urais

0 comments:

Post a Comment