Friday 31 July 2015

Fahamu jinsi ya kutengeneza Gaden ya taili ya katapila hapa.



Atua ya kwanza unachukua taili na kulichimbia.
Atua ya pili unachukua taili na kulichimbia likiwa na limevishwa nailoni

Atua ya tatu taili linaekewa mawe


Atua ya mwisho ni  ndani ya taili kuweka maji na ulembo mwingine.

0 comments:

Post a Comment