Tuesday 14 July 2015

#YALIYOJIRI>>>Dalili za raisi wa Marekani Obama Kuingia Kenya mjini Nairobi zajionyesha.



Hii ni ndege kubwa ya Kijeshi ya kimarekani kwenye Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta, Nairobi Kenya.



Kwenye uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta umekuwa busy sana zaidi hata ya ambavyo ulikuwa siku za nyuma.. unaambiwa kila siku hakukosekani stori kutoka Nairobi Kenya kuhusu ugeni wa Rais Obama.



Huu ni msafara wa gari zilizoshushwa kwenye ndege hiyo.



Hiki kinacho jionesha hapa kuwa raisi Obama yupo kalibu kuingia Kenya.


0 comments:

Post a Comment