Mbwana Samatta Aihamishia Mazembe Ubelgiji.
Ubelgiji .Wakati mshambuliaji wa zamani wa TP Mazembe, Mbwana Samatta
akitamba na Genk, klabu ya Standard Liege imebadilisha uhamisho wa mkopo
wa wachezaji watatu wa TP Mazembe na kuwasajili kwa mkataba wa kudumu.
Samatt…Read More
Hatimaye Mchezaji wa simba IBRAHIM AJIBU afunga ndoa.
Mchezaji wa Simba Ajibu akiwa na mke wake halali mara baada ya kufunga ndoa.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
…Read More
JOHN BOCCO ASAINI SIMBA MIAKA MIWILI.
Mshambuliaji wa timu ya Azam FC ,John Bocco ni mali ya Simba,. Taarifa zinaeleza amesaini miaka miwili katika kikosi cha Simba.
Taarifa zinaeleza mkataba huo ni wa awali na
inaonekana Bocco ameamua kutua Simba baada ya m…Read More
0 comments:
Post a Comment