Friday, 2 October 2015

#YALIYOJIRI>>>Rais Jakaya Kikwete aagwa na Sector Binafsi Tanzania Fahamu zaidi hapa.

 Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam kwa hafla maalum iliyoandaliwa kumuaga rasmi na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) usiku huu.
Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Dkt. Reginald Mengi katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam kwa hafla maalum iliyoandaliwa kumuaga rasmi na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) usiku huu.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na wadau alipowasili katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam kwa hafla maalum iliyoandaliwa kumuaga rasmi na Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) usiku huu.

#YALIYOJIRI>>>Wananchi wa Babati waonesha nia ya kukubali mabadiliko.

 Wananchi wa Babati waonyesha nia ya Mabadiliko katika viwanja vya Gwara.
Maelfu kwa maelfu wajitokeza kuonesha nia ya kutaka Mabadiliko katika viwanja vya Gwara.

Angalia video ya Davido inaitwa Dodo.Hapa hapa.

RATIBA YA MICHEZO YA LEO LIGI KUU TANZANIA BARA 3OCTOBER2015.

RATIBA LIGI KUU TANZANIA BARA 3OCTOBER2015.
 Majimaji 0-0 Mwadui saa 10:00 jioni
 MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA.
Pos Club P W D L GF GA GD PTS
1 Young Africans SC 5 5 0 0 13 1 12 15
2 Azam FC 5 5 0 0 9 2 7 15
3 Simba SC 5 4 0 1 7 3 4 12
4 Mtibwa Sugar FC 5 4 0 1 6 3 3 12
5 Majimaji FC 5 2 1 2 3 3 0 7
6 JKT Mgambo 5 2 1 2 3 4 -1 7
7 Tanzania Prisons 5 2 1 2 3 5 -2 7
8 Stand United 5 2 0 3 3 4 -1 6
9 Mwadui FC 5 1 2 2 2 2 0 5
10 Ndanda FC 5 1 2 2 4 5 -1 5
11 Toto African 4 1 2 1 1 2 -1 5
12 Kagera Sugar FC 5 1 2 2 2 4 -2 5
13 Mbeya City Council FC 4 1 0 3 4 4 0 3
14 African Sports 5 1 0 4 1 6 -5 3
15 Coastal Union SC 5 0 2 3 0 5 -5 2
16 JKT Ruvu Stars 5 0 1 4 1 9 -8 1
 
Download nyimbo ya Mr Blue ft Mr two (Sugu) - Freedom.Hapa hapa.

Matokeo ya ligi kuu Tanzania bara na Msimamo yako hapa hapa bofya ujionee.

MATOKEO YA LIGI KUU TANZANIA BARA 30 SEPTEMBER 2015
09/30/2015 - 00:00 Simba SC 1 - 0 Stand United 2015-2016 Premier League
09/30/2015 - 00:00 Azam FC 2 - 0 Coastal Union SC 2015-2016 Premier League
09/30/2015 - 00:00 Mtibwa Sugar FC 0 - 2 Young Africans SC 2015-2016 Premier League
09/30/2015 - 00:00 Majimaji FC 1 - 1 Ndanda FC 2015-2016 Premier League
09/30/2015 - 00:00 Kagera Sugar FC 0 - 0 JKT Ruvu Stars 2015-2016 Premier League
09/30/2015 - 00:00 African Sports 0 - 1 JKT Mgambo 2015-2016 Premier League
09/30/2015 - 00:00 Tanzania Prisons 0 - 0 Mwadui FC 2015-2016 Premier League
 MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA.
Pos Club P W D L GF GA GD PTS
1 Young Africans SC 5 5 0 0 13 1 12 15
2 Azam FC 5 5 0 0 9 2 7 15
3 Simba SC 5 4 0 1 7 3 4 12
4 Mtibwa Sugar FC 5 4 0 1 6 3 3 12
5 Majimaji FC 5 2 1 2 3 3 0 7
6 JKT Mgambo 5 2 1 2 3 4 -1 7
7 Tanzania Prisons 5 2 1 2 3 5 -2 7
8 Stand United 5 2 0 3 3 4 -1 6
9 Mwadui FC 5 1 2 2 2 2 0 5
10 Ndanda FC 5 1 2 2 4 5 -1 5
11 Toto African 4 1 2 1 1 2 -1 5
12 Kagera Sugar FC 5 1 2 2 2 4 -2 5
13 Mbeya City Council FC 4 1 0 3 4 4 0 3
14 African Sports 5 1 0 4 1 6 -5 3
15 Coastal Union SC 5 0 2 3 0 5 -5 2
16 JKT Ruvu Stars 5 0 1 4 1 9 -8 1

#YALIYOJIRI>>Tume ya taifa ya uchaguzi NEC iko katika hatua za mwisho za kuboresha mfumo wa matokeo.Fahamu zaidi hapa.

Tume ya taifa ya uchaguzi NEC iko katika hatua za mwisho za kuboresha mfumo wa matokeo ambapo ukimalizika vyama vya siasa vitaitwa kukagua na ikiwezekana wakae zaidi ya siku moja kufuatilia namna utakavyofanyakazi.
Chanzo
                                                        EATV Africa Television

#YALIYOJIRI>>Waalimu wametishia kugoma na kuandamana endapo serikali haitawalipa malimbikizo ya mishahara yao.Fahamu zaidi hapa.

Waalimu wa shule za msingi na sekondari katika wilaya ya Nzega mkoani Tabora wametishia kugoma na kuandamana endapo serikali haitawalipa malimbikizo ya mishahara yao wanayodai tangu mwaka 2011 pamojana kupadishwa madaraja hali ambayo imekua ikiwakatisha tamaa kufanya kazi kwa bidii.
Chanzo
                          EATV

Thursday, 1 October 2015

#MICHEZO>>>SIMBA FC YATAKATA LIGI KUU TANZANIA BARA.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Mfungaji wa goli la Simba Joseph Kimwaga akishangilia na wachezaji wenzake wa Simba FC kwenye mchezo wa ligi kuu kwenye uwanja wa Taifa iyo jana.
 Mchezaji wa Stand United Pastory Athanas (mbele)  akichuana vikali na winga wa Simba SC Simon Sserunkuma wakati timu zao zilipopambana kwenye mchezo wa ligi kuu kwenye uwanja wa Taifa iyo jana.
 Mchezaji wa Simba FC Hassan Kessy (kulia) akimtoka mchezaji wa Stand United kwenye mchezo wao uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa hiyo jana.
Mashabiki wa Simba waliojitokeza kushuhudia pambano kati ya Simba dhidi ya Stand United kwenye mchezo wao uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa hiyo jana.

 Benchi la ufundi la timu ya Simba FC
likiwa linatafakali mchezo wake dhidi ya Stand United
kwenye mchezo wao uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa hiyo jana.
 Kikosi cha Simba kilichoanza dhidi ya Stand United
 Benchi la ufundi la timu ya Stand United likiwa linatafakali mchezo wake dhidi ya Simba FC
kwenye mchezo wao uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa hiyo jana.
Wachezaji wa akiba wa kikosi cha Simba SC

#MICHEZO>>AZAM FC YAZIDI KUJIWEKA PAZURI LIGI KUU TANZANIA BARA.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Timu ya Azam FC jana imeendeleza wimbi lake la ushindi baada ya kuifunga timu ya
Coastal Union SC ikiwa kwenye uwanja wake wa nyumbani na magoli yalifungwa na Magoli ya Shomari Kapombe na Kipre Tcheche.Kikosi cha Azam FC ni kama ifuatavyo:-          
Kikosi kinachoanza leo dhidi ya Coastal Union ni :-
1.Aishi Manula 28
2.Salum Kapombe 4
3.Racine Diouf 21
4.Pascal Wawa 5

5.Said Morad 15
6.Farid Morad 17
7.Frank Domayo 18
8.Jean Mugiraneza 16
9.Ramadhan Singano 14
10.Allan Wanga 9
11.Kipre Tchetche
Sub
1.Mwadini Ali 1

2.Gadiel Michael 2
3.Himid Mao 23
4.Aboubakar Salum 8
5.Didier Kavumbagu 11
6.John Bocco 19
7.Ame Ali 24
Tech staff
1.Stewart Hall
2.Mario Marinica
3.Luckson Kakolaki
4.Idd Aboubakar
5.Juma Mwimbe
6.Adrian Dobre
7.Yusuph Nzawila

09/30/2015 - 00:00 Azam FC 2 - 0 Coastal Union SC 2015-2016 Premier League

#Breaking News>>>Segerea yazizima mapokezi ya Edward Lowassa.Jionee hapa.

Wakazi wa Segerea wakionesha nia kutaka mabadiliko wajitokeza Uwanja wa shule ya msingi kumsikiliza mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chadema UKAWA Edward Lowassa hii leo.
  Mafuliko wajitokeza Uwanja wa shule ya msingi kumsikiliza mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chadema UKAWA Edward Lowassa  hii leo.