Waalimu wa shule za msingi na sekondari katika wilaya ya Nzega mkoani
Tabora wametishia kugoma na kuandamana endapo serikali haitawalipa
malimbikizo ya mishahara yao wanayodai tangu mwaka 2011 pamojana
kupadishwa madaraja hali ambayo imekua ikiwakatisha tamaa kufanya kazi
kwa bidii.
Chanzo
EATV
0 comments:
Post a Comment