Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>Lowassa aendeleza kuvunja record ya mapokezi yake na muitikio wa kutaka mabadiliko yakiwa ni makubwa huko Mbeya.Fahamu zaidi hapa.
Mgombea
wa urais kupitia tiketi ya CHADEMA UKWA Edward Lowassa aendeleza wimbi
la kuvunja record za mikutano ya hadhara baada kuwasili Mbeya na kuvunja
record,huku Umati wa wakazi wa Mji wa Tunduma jijini Mbeya, ukiwefurika
kwenye Uwanja wa shule ya Msingi, Tunduma.
Huu ni muitikio katika Viwanja vya Rwanda-Nzovwe.
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>>>Bei ya Mafuta yashuka Maradufu.Fahamu zaidi hapa.
MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati na Maji na Mafuta (Ewura), imetangaza kushuka bei ya mafuta ya aina zote kwa jumla na rejareja.
Bei hizo mpya ya mafuta zimeshuka katika mikoa yote isipokuwa Mkoa wa Tanga, hasa kwa petroli, … Read More
#YALIYOJIRI>>>Serikali Imejipanga Kudhibiti Ongezeko la Deni la Taifa.Fahamu zaidi hapa.
Na Eleuteri Mangi- Maelezo
Serikali imewahakikishia Watanzania kuwa inaendelea na mikakati ya makusudi katika kudhibiti ongezeko la deni la taifa.
Hayo
yamesemwa na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji… Read More
#YALIYOJIRI>>>Rais Museveni Wa Uganda Awasili Dar Es Salaam Tayari Kwa Mkutano Wa Viongozi Wa Jumuiya Ya Afrika Mashariki.Fahamu zaidi hapa.
Mwenyekiti
wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli
akitambulisha wasaidizi wake kwa Mgeni wake, Rais wa Uganda Mhe Yoweri
Kaguta Museveni, alipowasili Ikulu Dar es salaam leo jioni Septemba 7, 20… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Msigwa 'Awatolea Uvivu' Mawaziri wa Magufuli!...Fahamu zaidi hapa.
Alichangia mswaada wa haki ya kupata taarifa mbunge wa Iringa mjini Mch
Piter Msigwa amesema taifa limesinyaa kwa sababu mawaziri ni waoga wa
kumkosoa hata kumshauri rais. " Huu mswaada mbovu ulipita kwenye baraza
la maw… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Majina ya Watu 4 Matajiri zaidi Tanzania.Fahamu zaidi hapa.
Uchumi mkubwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unategemea zaidi kilimo
kwa takriban asilimia 25 ya GDP na asilimia 85 Exports. Aidha, Tanzania
ina madini kama dhahabu, almasi, makaa yam awe, uraniamu, chuma, shaba,
Tan… Read More
0 comments:
Post a Comment