Home »
Michezo
» MICHEZO YA LEO LIGI KUU TANZANIA BARA IKO HAPA.
Michezo ya leo tarehe 17/10/2015.
Coastal Union 0-0 Mtibwa Sugar saa 10:00 jioni
Stand United 0-0 Tanzania Prisons saa 10:00 jioni
Ndanda 0-0 Toto African saa 10:00 jioni
Mbeya City 0-0 Simba SC saa 10:00 jioni
Majimaji 0-0 African Sports saa 10:00 jioni
Young Africans 0-0 Azam saa 10:00 jioni
MSIMAMO LIGI KUU TANZANIA BARA 17 OCTOBER 2015.
Related Posts:
#MICHEZO>>>>MAWAZO YA HAJI MANARA KUHUSU TAIFA STARS.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Ninashudia aibu nyingine katika nchi za
watu kwa kichapo kizito kutoka kwa Zimbabwe kwenye uwanja wa Taifa wa
Harare, ni kipigo tulichokiandaa sisi wenyewe na ingekuwa ni miujiza
walau kupata sare kule kwa Washona na Wa… Read More
#MICHEZO>>>MAYWEATHER SASA AAMUA KUWA PROMOTA WAZIWAZI, ASIMAMIA PAMBANO LA DEGALE VS JACK.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Baada ya kufanya kimyakimya kazi ya upromota, sasa bondia nyota Floyd Mayweather ameamua kufanya hadharani.
Mayweather
ambaye alitangaza kustaafu baada ya kushinda mapambano 49, ameonekana
akisimamia pambano la mabon… Read More
#MICHEZO>>>AZAM FC YASAJILI WASHAMBULIAJI WAWILI NYOTA KUTOKA NCHINI GHANA.FAHAMU8 ZAIDI HAPA.
Klabu
Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, imefanikiwa kuwasajili
washambuliaji nyota wawili kutoka Ghana, Samuel Afful na Yahaya
Mohammed.
Zoezi la kuingiana
mikataba limehudhuria na baadhi ya viongozi wakuu… Read More
#MICHEZO>>>BAADA YA KUIBEBA ARGENTINA MESSI AONGOZA MGOMO.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Argentina
bado inapambana kutafuta nafasi ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia
2018 huko Urusi ambapo hadi sasa inashika nafasi ya tano ikiwa na alama
19 kwenye msimamo wa kanda ya Amerika ya Kusini. Alfajiri ya leo ilik… Read More
#MICHEZO>>>HATIMAYE AZAM FC 'YAIFUTA' RASMI FAMILIA YA KINA TCHETCHE, YAAMUA KUACHANA NA BOLOU.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Hatimaye Azam FC, imetangaza kuachana na mchezaji Kipre Bolou raia wa Ivory Coast.
Azam FC, imemuachoa Bolou, ndugu ya Kipre Tchetche aende zake baada ya mkataba wake kwisha.
Msemaji wa Azam FC, Jaffar Iddi amethibit… Read More
0 comments:
Post a Comment