Waziri wa Ardhi, Nyumba Maendeleo na Makazi, William Lukuvi amesema kuwa
Serikali itaendelea kuongeza hazina ya ardhi kwaajili ya matumizi
mbalimbali ikiwa ni pamoja na uwekezaji mkubwa katika sekta ya viwanda.
“Serikali inakusudia kuongeza viwango vya pango la ardhi kutoka shilingi mia 400 hadi shilingi 1000 kwa hekari kuanzia tarehe 1 mwezi wa 7 kwa mashamba ya biashara kwa mwaka yaliopimwa na kumilikishwa nje ya miji kiwango kinachotiozwa leo cha shilingi miliono 400 kwa hekari 1 ni ndogo sawa na ikilinganishwa na thamani ya pamoja na uwezo wa uzalishaji husika,” alisema Lukuvi.
“Hapa sina maana ya wakulima wadogo wadogo maskini wenye hati za kimila wale wenye hati za kimila watatozwa sifuri sifuri hawatozwi kodi yoyote.”
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment