Pamoja na matamko na mikakati ya wana habari na wahariri kwa ujumla wao
kuamua kwa Pamoja kutoandika au kutangaza habari za Paul Makonda Mkuu wa
Mkoa wa Dar es salama kwa sababu kile kilichoitwa uvamizi wa kituo cha
Clouds Media TV na redio.
Sasa Paul Makonda ametumia mbinu za kimafia kuhakikisha ujumbe kuhusu
maendeleo ya Mkoa yanawafikia wana Dar es salama kwa kufanikiwa kuhojiwa
mubashara na Star TV na TBC 1.
Na hiyo hali hiyo imesababisha Sasa hivi mitandao ya kijamii yote
kuibuka na taarifa zake kila kukicha na hii itaendelea na Kuna uwezekano
ndiyo ikawa ndiyo mwanzo wa kuvunjika kwa makubaliano yaliyokuwepo
awali ya kutotoa habari zake kwa wana habari na wahariri ktk majukwaa
tofauti!!
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment