Bingwa wa Dunia uzito wa juu, Anthony Joshua, huenda akaingia ulingoni
mwezi wa Novemba, tayari kutetea ubingwa wake wa Dunia. Katika kuelekea
pambano hilo mpaka sasa, tayari kumbi za mpambano huo zimeanza
kupendekezwa.
Bingwa wa Dunia uzito wajuu, Anthony Joshua
Joshua ataingia ulingoni kutetea taji lake katika kipindi cha majira ya baridi.
“Kuna uwezekano mkubwa” wa kupambana tena mwezi huu wa November,” Alisema promoter wake, Eddie Hearn, kumbi zilizopendekezwa mpaka sasa ni za Wales, America, China pamoja na Dubai, hii ikiwa ni kwaajili ya kulitetea taji lake la Dunia.
Bingwa wa Dunia uzito wajuu, Anthony Joshua akiwa na Promota wake Eddie Hearn
Bingwa huyo wa WBA na IBF uzito wa juu, ata ufahamisha ulimwengu kama atapigana na Klitschko katika mchezo wa marudiano, baada ya kumshinda katika raundi ya 11 katika uwanja wa Wembley mwezi uliopita.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment