Mume uliyezaa nae watoto watano ukamuacha solemba, tamaa ya ujana
ikakushika japo umri ulikutupa ukaja kufanya uasherati na kula raha na
Diamond na kusahau kuwa ulipaswa uvumilie mlee watoto na wenzio.
Leo hii kwenye post yako unamwita great man na kumpa sifa kedekede
marehemu Ivan baada ya kufariki kwani ulikuwa wapi kusema haya wakati
hajafa?
Hili liwe funzo kwa wanawake mnaoacha waume zenu na kwenda kurukaruka na
kula starehe iko siku watu mnaowaacha watakufa na kuwaacha ktk hali
ambayo mtaumia sana. Sasa hivi Zari anatamani amuombe msamaha Ivan ila
hawezi tena anatamani aseme neno lkn tayar amechelewa.
Hakuna wakati mgumu hapa duniani kama kudaiwa kihisia na marehemu
Credit - Jf
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment