Home »
Michezo
» #BREAKING NEWS>>KIUNGO WA SIMBA JONAS MKUDE APATA AJALI MBAYA YA GARI AKITOKEA DODOMA.
Kiungo wa Simba,Jonas Mkude amepata ajali mbaya maeneo ya
Mitibora,Dumila mkoani Morogoro akiwa njiani kurejea Dar es Salaam
kuiwahi Taifa Stars. Taarifa za awali zinasema ameumia maeneo ya
shingoni, amekimbizwa kwenye hospitali ya mkoa wa Morogoro pamoja na
majeruhi wenzie ambao baadhi wana hali mbaya.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Maamuzi ya Mahakama kwa maafisa wa zamani wa TFF katika kesi ya rushwa.Fahamu zaidi hapa.
Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru watumishi wawili wa Shirikisho
la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Martin Chacha na Juma Matandiko baada
ya kuwaona hawana kesi ya kujibum. Uamuzi huo umetolewa leo na… Read More
Zuri Lingine la Mbwana Samatta, Achaguliwa Kwenye Kikosi Bora cha Wiki cha UEFA Europe Leque.Fahamu zaidi hapa.
Mshambuliaji wa timu ya RC Genk na nahodha wa Taifa stars, Mbwana
Samatta amechaguliwa kwenye kikosi bora cha wiki cha UEFA Europe legue.
Neno la pongezi kwa Samatta.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwe… Read More
Mbwana Samata azidi kung'ala Baada ya kufunga magoli mawili Europa League - Round of 16 March 9.Fahamu zaidi hapa.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
&… Read More
MWAMUZI ALIYEMTWANGA CHIRWA KADI "FEKI" AONDOLEWA LIGI KUU.
Kamati ya Bodi ya Uendeshaji na
Usimamizi wa Ligi za Tanzania (Kamati ya Saa 72), imemwondoa Mwamuzi wa
kati, Ahmada Simba katika orodha wa waamuzi watakaochezesha mechi za
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu huu wa… Read More
Manchester United yakubali sale ya (FC Rostov 1 - 1 Manchester United) Europa League - Round of 16 March 9.Fahamu zaidi hapa.Rostov (5-3-2): Medvedev 6; Kalachev 7, Mevlja 6, Navas 5.5, Granat 6
(Terentyev 18, 6.5), Kudryashov 6; Noboa 6.5, Gatskan 6, Kalachev,
Erokhin 6.5, Poloz 7; Bukharov 7 (Aznmoun 74, 6).
Unused subs: Goshev, Kireev, B… Read More
0 comments:
Post a Comment