Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>Arusha yaweka record ya kutaka MABADILIKO kwa kumchagua Edward Lowassa mgombea kupitia tiketi ya CHADEMA UKAWA.Jionee hapa.
Wananchi wa Arusha wakionyesha kutaka
mabadiliko,katika mkutano mkubwa wa kampeni ambao ijawai tokea tokea
kampeni zianze hii imetokea viwanja vya Sinoni.
TANESCO Wataja Chanzo cha Kukatika kwa Umeme Dar, Pwani.
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetoa taarifa kwa wateja katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kuwa baadhi ya maeneo hayana umeme kutokana na hitilafu iliyojitokeza.Taarifa ya Tanesco imesema baadhi ya maeneo ya miko…Read More
Soma Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Jumatatu.
26 Job Opportunities at Tanesco TanzaniaJob Opportunity at Tigo Tanzania, Regional Distribution CoordinatorJob Opportunity at EGPAF, Project CoordinatorJob Opportunity at EGPAF, Health Information System (HIS) OfficerJob Op…Read More
Korea Kaskazini: Tunaweza Kushambulia Eneo Lolote Marekani.
Korea Kaskazini imesema kuwa imefanikiwa kulifanyia majaribio kombora lake la masafa marefu ambalo linaweza kufika eneo lolote la Marekani.Runinga ya kitaifa nchini humo imesema kuwa Pyongyang sasa imefanikiwa kuafikia azim…Read More
Mabasi ya Mwendokasi Kupanua Wigo Sasa Hadi Sinza, Masaki.
WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) unatarajia kupanua wigo wa usafiri huo kwa kuongeza ruti za Sinza, masaki na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Sambamba na ruti hizo, DART pia inatrajia kuongeza mabasi katika mfumo …Read More
0 comments:
Post a Comment