Mbao Yaitumia Salamu za Maaangamizi Simba Katika Mechi ya Leo.
Kikosi cha Mbao kimeamua kupeleka salamu kwa wapinzani wao Simba kuelekea mchezo wao wa leo Jumatatu utakaopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwa kusema kuwa wamekuja jijini Dar es Salaam kupata ushindi na si…Read More
Man U Yaionyesha Ubabe Chelsea Yaifunga Bao 2-1
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kurudi nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu England (EPL) kwa kuitafuna klabu ya Chelsea goli 2-1Chelsea walikuwa ndio wa kwanza kuliona langu la United kupitia kwa Wilian kunako …Read More
Baada ya Kuwasili Nchini Rais wa FIFA Amtaja Samatta.
RAIS wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino amewasili nchini leo alfajiri Feb. 22, 2018 kwa ajili ya mkutano wa FIFA unaofanyika jijini Dar es Salaam.Rais huyo wa FIFA akiwa uwanjani hapo baada ya kuwasili a…Read More
0 comments:
Post a Comment