Timu ya Azam FC jana imeendeleza wimbi lake la ushindi baada ya kuifunga timu ya
|
Coastal Union SC ikiwa kwenye uwanja wake wa nyumbani na magoli yalifungwa na Magoli ya Shomari Kapombe na Kipre Tcheche.Kikosi cha Azam FC ni kama ifuatavyo:- Kikosi kinachoanza leo dhidi ya Coastal Union ni :- 1.Aishi Manula 28 2.Salum Kapombe 4 3.Racine Diouf 21 4.Pascal Wawa 5 5.Said Morad 15 6.Farid Morad 17 7.Frank Domayo 18 8.Jean Mugiraneza 16 9.Ramadhan Singano 14 10.Allan Wanga 9 11.Kipre Tchetche Sub 1.Mwadini Ali 1 2.Gadiel Michael 2 3.Himid Mao 23 4.Aboubakar Salum 8 5.Didier Kavumbagu 11 6.John Bocco 19 7.Ame Ali 24 Tech staff 1.Stewart Hall 2.Mario Marinica 3.Luckson Kakolaki 4.Idd Aboubakar 5.Juma Mwimbe 6.Adrian Dobre 7.Yusuph Nzawila |
| 09/30/2015 - 00:00 | Azam FC | 2 - 0 | Coastal Union SC | 2015-2016 | Premier League |













0 comments:
Post a Comment