Yusuph Manji amechaguliwa kwa awamu nyingine kuwa mwenyekiti wa Timu ya Young Africans ‘Yanga’ pamoja na makamu wake Clement Sanga. Matokeo rasmi ya uchaguzi mkuu wa 2016 uliofanyika jana June 11 2016 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam yametangazwa leo June 12 2016, ambapo Yusuph Manji na Clement Sanga ameibuka kidedea ambapo Manji kashinda kwa jumla ya kuraza ndio 1468, hapana 0 na kura zilizoharibika zilikuwa 2.
Monday, 13 June 2016
Home »
Burudani
» #MICHEZO>>>Yusuph Manji achaguliwa kwa mara nyingine kuingoza Yanga.Fahamu zaidi hapa.
#MICHEZO>>>Yusuph Manji achaguliwa kwa mara nyingine kuingoza Yanga.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
#BURUDANI>>>Governor wa Mombasa Kumleta Nicki Minaj Baada ya Chris Brown.Fahamu zaidi hapa. Inavyoonekana kaunti 001, au ukipenda kaunti ya Mombasa inatarajiwa kupata masupastaa mpwito mpwito mwaka huu. Baada ya kumleta Chris Brown Mombasa, Gavana wa Mombasa, Gavana 001, almaarufu Sultan au ukipenda Ali Hassan J… Read More
MASKINI: Saida Karoli Aelezea Alivyotumiwa Kuwatajirisha Watu Huku Akibaki Maskini.Fahamu zaidi hapa. Muimbaji nguli wa Tanzania aliyetamba na vibao kama Mapenzi Kizunguzungu, Kitobero na nyingine nyingi amesema kuwa ana hofu ya kuwa na meneja kwa sasa kutokana na yaliyomsibu miaka kadhaa nyuma. Najua, kuna mameneja waz… Read More
#BURUDANI>>>>Baada ya Young Dee Kukana Kutoka Kimapenzi na Amber Lulu...Amber Atoboa Siri Nzito.Fahamu zaidi hapa. Ukimwaga mboga wenzio wanamwaga ugali. Ukweli wafahamika baada ya mara kadhaa Rapper Young Dee kukanusha kuwahi kuwa na mahusiano na video vixen kutoka kwenye kiwanda cha Bongo Fleva, Amber Lulu. Akiongea na U-Hear… Read More
#BURUDANI>>>>Baraka da Prince Amtukana Ney wa Mitego.Fahamu zaidi hapa. Baada ya Nay wa Mitego kudai kuwa muimbaji huyo wa ‘Nisamehe’ na Stan Bakora ni watoto na kwamba huenda wanatafuta kiki, ameibuka na kudai kuwa rapper huyo hana akili na ni mp*mbavu. “Nay hana akili, yaani Nay wa Mitego … Read More
#BURUDANI>>>>>VIDEO:Waziri January Makamba Atembelea Studio ya Diamond Platnumz.Fahamu zaidi hapa. VIDEO:Waziri January Makamba Atembelea Studio ya Diamond Platnumz … Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment