Home »
Michezo
» KIUNGO WA MTIBWA SUGAR ATIA SAINI SIMBA SC.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mohamed Ibrahim akisaini mkataba wa miaka
miwili kuitumikia klabu ya Simba SC mbele ya Rais wa klabu hiyo Evans
Aveva.
Simba SC imemsajilki kiungo Mohamed Ibrahim kutoka klabu ya Mtibwa
Sugar ya Morogoro kwa mkataba wa miaka miwili kukitumikia kikosi cha
Msimbazi huku ada ya uhamisho wake ikiachwa kuwa siri.
Mohamed Ibrahim anakuwa mchezaji wan ne kusajiliwa Simba msimu huu
akitanguliwa na nyota mwingine kutoka Mtibwa Sugar Muzamir Yassin nja
wachezaji wengine wawili kutoka Mwadui FC Jamal Mnyate kutoka na Emanuel
Semwanza.
Simba bado inamnyatia Shiza Kichuya mchezaji mwingine kutoka Mtibwa
Sugar ambaye bado mazungumzo ya kuinasa saini yake yanaendelea.
Endapo Kichuya atatua Simba atakuwa ni mchezaji wa tatu kutoka Mtibwa
kuhamia Simba msimu huu wakati Mtibwa itakuwa imeuza wachezaji wanne
kwenda kwenye vilabu vya Simba na Yanga baada ya Andrew Vicent
kusajiliwa Yanga mapema mwezi huu.
Related Posts:
Kauli ya TFF Baada ya Mwakyembe kupewa uwaziri wa Michezo.Fahamu zaidi hapa.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limempongeza Mheshimiwa Dk.
Harrison Mwakyembe kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo.
Katika taarifa iliyotolewa leo kwa wana habari, imesema kuwa … Read More
BUKOBA WAANZA HIVI MAANDALIZI YA KUIPOKEA SIMBA ITAKAPOTUA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Wanachama wa Simba mkoani Kagera wameanza maandalizi ya kukipokea kikosi chao.
Simba itasafiri wikiendi hii kwenda Bukoba kwa ajili ya kuivaa Kagera Sugar katika mechi inayotarajiwa kuwa kali.
Wanachama wa Simba, taw… Read More
UNA HOFU NA WAARABU WALIOPANGWA NA YANGA? MSOME KAMUSOKO HAPA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Kiungo mkongwe wa Yanga, Thabani Kamusoko,
raia wa Zimbabwe, amesema kikosi chao hicho kitaweka historia kwa
kuitoa MC Alger ya Algeria na kutinga hatua ya makundi ya Kombe la
Shirikisho Afrika.
Yanga
imepangwa kuch… Read More
Ngoma, Tambwe waipania Azam.Fahamu zaidi hapa.
Ngoma na Tambwe
WASHAMBULIAJI Donald Ngoma na Amissi Tambwe ambao walikuwa majeruhi
na kukosa mchezo wa marudiano dhidi ya Zanaco, wameanza mazoezi na sasa
wanaelekeza akili yao kwenye mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya… Read More
MADEIRA WAAMUA KUMPA RONALDO UWANJA WA NDEGE KWA KUWEKA JINA LAKE.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Ukiwa shujaa wenzetu wanakupa heshima na hiki ndicho kilichotokea kwa mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo.
Serikali
ya kisiwa cha mji wa Madeira nchini Ureno imeamua kubadili jina la
Uwanja wake wa Nd… Read More
0 comments:
Post a Comment