Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>>Huu ndio usajili mpya wa Simba SC katika safu ya uongozi.Fahamu zaidi Hapa.
Wakati timu mbalimbali zinazoshiriki katika ligi kuu ya Tanzania vikiwa
vinajiandaa na kujiimarisha katika usajili wa wachezaji mbalimbali
kwenye vikosi vyao – klabu ya Simba imeripotiwa kufanya usajili
mwingine, lakini safari hii usajili wao ni kwenye safu ya uongozi wa
timu yao.
Taarifa za ndani kutoka katika klabu ya Simba zinasema kwamba, Rais wa
klabu hiyo Evans Aveva amemteua aliyekuwa mratibu na meneja wa klabu ya
Azam FC, Bwana Patrick Kahemele kuwa katibu mkuu wa Simba.
Mtandao huu ulimtafuta Patrick Kahemele kuzungumzia juu ya uteuzi wake wa kushikilia nyadhifa hiyo ndani ya klabu ya Simba: “Sina hiyo taarifa mpaka sasa, sifahamu lolote na ndio maana siwezi kuzungumzia jambo hilo,” alisema Kahemele.
Taarifa ambazo mtandao imezipata zinasema Uteuzi wa Kahemele
unatarajiwa kutangazwa hivi karibuni na Aveva baada ya taratibu zote
kukamilika.
Related Posts:
#MICHEZO>>>PLUIJM: NANI ANASEMA TUMEKATA TAMAA, KWA NINI TUKATE TAMAA?...FAHAMU ZAIDI HAPA.
Kocha Hans van der Pluijm amesema kikosi chake hakijakata tamaa katika michuano ya Kombe la Shirikisho.
Pluijm
raia wa Uholanzi, amesema bado wanapambana na watakachofanya ni kuibuka
na ushindi dhidi ya Bejaia a… Read More
#MICHEZO>>>MAMA POGBA ANUNUA JEZI KIBAO ZA MWANAYE, NI ZAWADI KWA WATU MBALIMBALI.FAHAM ZAIDI HAPA.
MAMA MZAZI WA POGBA AMENUNUA RUNDO
LA JEZI ZA MWANAYE MARA TU BAADA YA KUANZA KUINGIA MTAANI IKIWA NI SAA
CHACHE BAADA YA KUJIUNGA NA MAN UNITED AKITOKEA JUVENTUS. IMEELEZWA
MAMA HUYO ANAJIANDAA KUTOA ZAWADI KWA WATU M… Read More
#MICHEZO>>>>HATIMAYE BRAZIL YAAMKA OLIMPIKI, YAITWANGA DENMARK 4-0, SASA WANAKUTANA NA COLOMBIA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Baada
ya kuzomewa na mashabiki kwa mechi mbili mfululizo kutokana na kutoka
sare ya 0-0 katika mechi zote, hatimaye Brazil imeamka.
Imeitwanga Denmark kwa mabao 4-0 na kutonga robo fainali ya Michezo ya Olimpiki.
… Read More
#MICHEZO>>>>WAWA AREJEA KIKOSINI AZAM FC, NA KUANZA MAZOEZI MEPESI YA GYM.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Beki kisiki wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC,
Pascal Wawa, alivyoanza mazoezi mepesi ya gym leo Alhamisi asubuhi chini
ya uangalizi wa Mtaalamu wa Viungo wa timu hiyo, Sergio Perez Soto,
baada ya kupat… Read More
MAKONDA AFAFANUA POST YAKE KUHUSU YANGA ILIYOZUA UTATA INSTAGRAM.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Siku za hivi karibuni, habari ya town katika michezo ni uamuzi
wa wanachama wa Yanga kuamua kuikodisha timu yao pamoja na nembo kwa
Mwenyekiti wao Yusuf Manji ambaye pia ni Mwenyekiti wa klabu hiyo kongwe
zaidi nchini.K… Read More
0 comments:
Post a Comment