Vanessa Mdee ni msanii pekee wa Tanzania aliyechaguliwa kuwania Tuzo na Nigeria, Nigerian Entertainment Awards 2016 kwenye kipengele cha Msanii Bora wa kike wa Afrika/ Nje ya Nigeria ‘African Female Artist (Non Nigerian / Africa)’
Vanessa atachuana na wasanii wengine kama Efya (GH), Lira (SA), MZ Vee (GH), Sheebah Ndiwanjawulo (UG), Adiouza (SN), Victoria Kimani (KQ), Knowless Butera (RW).Sunday, 19 June 2016
Home »
Burudani
» Vanessa atachuana na wasanii wengine kama Efya (GH), Lira (SA), MZ Vee (GH), Sheebah Ndiwanjawulo (UG), Adiouza (SN), Victoria Kimani (KQ), Knowless Butera (RW).Fahamu zaidi hapa.
Vanessa atachuana na wasanii wengine kama Efya (GH), Lira (SA), MZ Vee (GH), Sheebah Ndiwanjawulo (UG), Adiouza (SN), Victoria Kimani (KQ), Knowless Butera (RW).Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
Alikiba Kuachia Wimbo Huu Mpya.Fahamu zaidi hapa. Alikiba anatarajia kuachia wimbo wake mpya alioupa jina ‘Aje. Hajasema wimbo huo utatoka lini lakini dalili zinaonesha kuwa unaweza ukaachiwa mwezi huu. Huo unakuwa wimbo wake mpya mwenyewe tangu aachie Lupela. Kwa sasa … Read More
Roma: Nimechagua Maisha ya Shida.Fahamu zaidi hapa. Nyota wa muziki wa Rap Bongo ‘Rhymes Of Magic Attraction’ Roma amethibitisha fununu za kuwa muziki anaoufanya umekua ni msalaba mzito kwenye maisha yake. Akizungumza na eNewz Roma alisema kuwa hayo ndiyo maisha aliyo… Read More
Snura Atoboa Alipojifunzia Mauno.Fahamu zaidi hapa.Msanii Snura ambaye jana video ya wimbo wake wa ‘Chura’ ulifungiwa na serikali kutokana na kutokuwa na maadili na kukiuka utamaduni wa kitanzania amefunguka na kusema kuwa yeye kukata viuno amejifunzia kwenye ngoma za asil… Read More
Shetta Atumia Ndege, Boti Kwenye Video Mpya.Fahamu zaidi hapa. VIDEO ya wimbo mpya wa ‘Namjua’ wa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nurdin Bilali ‘Baba Qayla’ au ‘Shetta’, iliyorekodiwa katika miji ya Johannesburg na Cape town nchini Afrika Kusini, inatarajiwa kuachiwa kesho katika vi… Read More
#YALIYOJIRI>>>Majibu ya Snura baada ya Chura wake Kupigwa Nyundo na Serikali.Fahamu zaidi hapa Meneja wa msanii Wa Bongo Movie Snura Mushi (Snura), Hemed Kavu akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo na kuwaomba radhi wa tanzania kwa video ya wimbo wa Msanii Snura na wimbo wake wa Chura. … Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment