Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>Marekani ni sababu kubwa ya Uingereza kujitoa umoja wa ulaya.Fahamu zaidi hapa.
Janet Yellen
Mkuu wa kitengo cha shirikisho la
uhifadhi nchini Marekani ,Janet Yellen, ametupilia mbali hoja ya
Marekani kuingia kwenye kipindi cha mpito na kuyumba kwa uchumi wake
endapo Uingereza itajiondoa katika umoja wa ulaya.
Wakati akijibu
maswali kutoka katika kamati ya Senate Yellen amesema kipindi cha mpito
na kuyumba kwa uchumi wa nchi yake hakutokani ama haitakuwa chanzo cha
kura hiyo, hakuna ajuaye nini kitatokea.
Ameeleza imani yake kwa
wawekezaji kwamba watafanya maamuzi sahihi na kuamua kwa busara katika
masoko ya fedha, ambako italeta taswira bei shirikishi na viwango vya
juu vya riba kwa wakopaji walio wengi.
Chanzo :BBC SWAHILI.
0 comments:
Post a Comment