Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>>FC Platinum akisaini mkata wa miaka miwili na klabu ya Young African.Fahamu zaidi hapa.
Obrey Chirwa toka FC Platinum akisaini kandarasi ya miaka miwili na klabu ya Young African.
Chirwa mwenye uwezo wa kucheza kama kiungo mshambuliaji kutokea kati
kama namba 10 au kusimama kama winga wa kulia au kushoto anakuja kuziba
nafasi ya Yousouf Boubacary aliyevunjiwa mkataba hivi karibuni. Ujio wa
kiungo huyu unairudisha Young African katika idadi ya wachezaji saba wa
kigeni tena ;
1. Donald Ngoma ( Zimbabwe)
2. Thabani Kamusoko( Zimbabwe)
3. Obrey Chirwa ( Zambia)
4. Haruna Niyonzima ( Rwanda)
5. Mbuyu Twite ( Burundi)
6. Amisi Tambwe ( Burundi)
7. Vicente Bossou ( Togo)
Related Posts:
EVERTON Yaja Kuzifunda Simba, Yanga Julai.
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe,
amesema kikosi cha Everton FC kitatua nchini Julai mwaka huu kukipiga
dhidi ya Simba au Yanga katika mechi maalum zilizoandaliwa na serikali
ili kutanga… Read More
KIMENUKAA..Jengo la Yanga Kupigwa Mnada..Kisa Deni la Milioni.
JENGO la makao makuu ya Klabu ya Yanga lililoko makutano ya mtaa wa
Jangwani na Twiga Kariakoo jijini Dar es Salaam, liko hatarini kupigwa
mnada kutokana na deni la Sh. milioni 300 ambalo klabu hiyo inadaiwa,
imefahamik… Read More
MBAO FC INAAMINI ITAITWANGA AZAM FC NA KUBAKI LIGI KUU BARA.
Mbao FC ina uhakika wa kufanya vizuri na kubaki Ligi Kuu Bara na kazi hiyo inaanza kesho Jumamosi.
Mbao ina imani mechi yao dhidi ya Azam FC ugenini, tena usiku itakuwa ngumu lakini watafanfa vema.
“Itakuwa mechi ngumu… Read More
#PICHA>>>Mshambuliaji wa JKT Ruvu, Abdulrahman Mussa amekabidhiwa Tsh milioni 1 ikiwa ni zawadi Mchezaji Bora VPL kwa mwezi Aprili.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
&… Read More
Meneja wa AS Monaco anena na vyombo vya Habari hivi punde.Meneja wa AS Monaco Leonardo Jardi amesema kwamba, ni lazima washinde
katika mchezo wetu wa kwanza wa nusu fainali ya Klabu Bingwa Barani
Ulaya dhidi ya Juventus ili tupate nafasi ya kuingia hatua ya fainali.
Monaco itawa… Read More
0 comments:
Post a Comment