Taifa
Stars imefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika michuano ya Kombe la
Cosafa baada ya kuichapa Lesotho kwa mikwaju ya penalti.
Stars imeibuka na ushindi wa mikwaju 4-3 dhidi ya Lesotho baada ya dakika 90 za bila kufungana.
Katika michuano hiyo inayopigwa nchini Afrika Kusini, Shiza Kichuya ndiye aliyekuwa wa kwanza kupiga na kukosa.
Hata hivyo baadaye Lesotho walipoteza penalti mbili, moja ikigonga mwamba na nyingine kipa Said Mohamed ‘Nduda’ akikoa moja.
Waliofunga upande wa Stars ni Himid Mao, Simon Msuva, Abdi Banda na Raphael Alpha aliyema malizia kazi.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment