Tuesday 11 July 2017

Diamond Platnumz Athibitisha Yeye ni King Of Bongo Flava...Atoa Nyimbp ya Tatu Ndani ya Mwenzi Mmoja..Itazame Hapa.

Siku 20 baada ya Diamond Platnumz kuachia video zake mbili mpya ya ‘Fire’ aliyomshirikisha muimbaji wa Nigeria Tiwa Savage na ‘I Miss You’, leo July 10 2017 ameamua kuachia video nyingine mpya ya wimbo wake mpya wa ‘Eneka’ ambao aliuachia kwa kushitukiza.

Unaweza kutazama video mpya ya Diamond Platnumz na kuniachia comment yako, Diamond atapita kuzisoma.


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment