Home »
Habari Moto
» #Breaking News>>>>Hali ya Karia koo mtaa wa Kongo yalindima Mabomu hii leo.Fahamu zaidi hapa.
Hali ya Karia koo mtaa wa Kongo Hali ndivyo ilivyo mabomu yamachozi yakiendelea tatizo wamachinga toka majira ya saa 7 mchana.
HABARI
ZA HIVI PUNDE~polisi watumia mabomu ya machozi kuwatawanya wamachinga
wanaopanga bidhaa zao mbele ya maduka Kariakoo,Wamachinga hao wanasema
hawajapatiwa maeneo maalum ya kufanya biashara,MTU mmoja kavunjika
mguu..
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>Jecha wa ZEC Atoka Mafichoni.....Dk. Shein Asisitiza Uchaguzi Lazima Urudiwe Zanzibar.Fahamu zaidi hapa.
Hatimaye
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, jana
ameonekana hadharani katika maadhimisho ya sherehe za miaka 52 ya
Mapinduzi zilizofanyika kwenye Uwanja wa Amaan mjini Unguja.
J… Read More
MAGAZETI YA LEO JANUARY 14 YAKO HAPA.
… Read More
#YALIYOJIRI>>>Maalim Seif Sharif Hamad Amwandikia Barua Papa Francis Kumwomba Aingilie Kati Mzozo wa Zazibar.Fahamu zaidi hapa.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad, amemwangukia Papa
Francis kwa kumwandikia barua, akimuomba kutumia ushawishi wake na
Tanzania kumaliza mzozo wa kisiasa kisiwani humo kabla hali haijawa
mbaya.
… Read More
#YALIYOJIRI>>>Lowassa Amtembelea Sumaye Hospitalini.Fahamu zaidi hapa.
Aliyekuwa
mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Edward Lowassa, amemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye,
katika taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Hosptitali ya Taifa
Muhi… Read More
#YALIYOJIRI>>>Waziri Lukuvi Atoa siku 18 jengo la Ghorofa 16 Livunjwe Dar-es-salaam.Fahamu zaidi hapa.
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ametoa siku 18
kwa uongozi wa Manispaa ya Ilala kuvunja jengo la ghorofa 16 lililopo
katika Mtaa wa Indira Gandhi kabla halijaleta maafa.
Akizungumza
… Read More
0 comments:
Post a Comment