Wasanii wa kundi la muziki la Kenya, Sauti sol na mwanamuziki mkongwe wa
Naija, 2face Idibia aka 2Baba wameingia location kushoot video ya wimbo
wao wa “Oya Make We Go” Siku ya jana, Juni 14.
Thursday, 16 June 2016
Picha: Sauti Sol na 2face washoot video mpya Kenya.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
Mastaa Wengi ni Wasumbufu Kwenye Mapenzi – Amber lulu. Video vixen na mwanamuziki kutoka hapa Bongo Amber Lulu amebainisha kuwa mastaa wengi katika kiwanda cha burudani ni wasumbufu sana ukiingia nao katika mahusiano ya kimapenzi. Amber mwenye Lulu zake amebainisha hayo ku… Read More
G Nako Afunguka ishu ya Kulala Kwenye Jeneza. Msanii wa Bongo Fleva kutoka kundi la Weusi, G Nako ameelezea issue yake ya kulala kwenye jeneza kama inavyoonekana kwenye video ya wimbo ‘Lucky Me’. G Nako amesema baada ya video hiyo kutoka kuna watu wameogopa na kuwa… Read More
Saida Karoli: ‘Urugambo’ inanikumbusha mpenzi wangu. Mwanamuziki mkongwe wa nyimbo za asili, Saida Kalori, ambaye kwasasa anatamba na wimbo wake mpya ‘Urugambo’ ametoa ya moyoni kuwa wimbo huo unamkumbusha mpenzi wake wa zamani. Saida anasema umaarufu wa wimbo huo umemsaba… Read More
Picha: Jux ahitimu Chuo, China.Msanii wa Bongo Fleva, Jux ameachia picha mtandaoni zikimuonyesha akiwa katika mafahali kitu ambacho kinaashiria kuwa amehitumu Chuo. Muimbaji huyo wa RnB kwa kipindi kirefu amekuwa akidai anasoma nchini China lakini watu… Read More
VIDEO: Diamond Kaongea Baada ya Rayvanny Kushindi Tuzo ya BET. Ni Mwimbaji staa wa Bongo Fleva, makofi mengi amepigiwa kwenye utunzi wake pamoja na ukali wake wa melody, anaitwa Rayvanny kutoka WCB ambae June 24, 2017 ameshinda tuzo ya BET kipengele cha Viewers Choice Best New Inter… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment