Home »
Michezo
» ETO’O AMEAMUA KUFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE WA KITAMBO.Fahamu zaidi hapa.
Nyota wa Cameroon na soka la Afrika Samuel Eto’o aliyewahi kutamba na
vilabu maarufu vya Ulaya kama FC Barcelona, Inter Milan na Chelsea
amefunga pingu za maisha June 14.
Eto’o ameamua kufungia ndoa yake nchini Italy na mpenzi wake
waliyedumu kwa miaka mingi anayefahamika kwa jina la Georgette Tra Lou.
Related Posts:
JUVE YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA, YAICHAPA MONACO 2-1, MBAPPE MBISHI ASEEE.
Juventus imefanikiwa kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ikiwa timu ya kwanza kufanya hivyo msimu huu.
Imetinga fainali kwa kuichapa Monaco
ya Ufaransa kwa mabao 2-1 katika mechi iliyoisha hivi punde. Hivyo
kuvuk… Read More
SPORTPESA YAONYESHA INAJALI, YAMWAGA SH MILIONI 50 KWA SERENGETI BOYS, DK MWAKYEMBE AWEKA NENO.
Kampuni ya michezo ya kubahatisha
SportPesa imezinduliwa leo na moja kwa moja imemwaga Sh milioni 50
kuisaidia timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti
Boys.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na … Read More
USAJILI Mpya Simba Wavuja..Hawa Hapa Ndio Wachezaji Watakao Ondoka na Watakaoingia.
SIMBA imesikia kilio cha mashabiki wake ambao wamekuwa wakiukosoa
udhaifu uliopo kwenye kikosi chao na sasa uongozi wa timu hiyo umeamua
kufanya kweli, kwa kupanga mikakati ya usajili kimya kimya, ili
kukiimarisha kikos… Read More
NUSURA Aende Jela kwa Kufanana na Messi.
England.Kufanana na Lionel Messi nusura kumpeleke jela mwanafunzi wa Kiirani baada ya kuzua vurugu kwa mashabiki waliotaka kupiga naye picha mitaani.
Mwanafunzi huyo, Reza Parastesh anayefanana na Messi aliwavutia… Read More
Yanga yaitandika Kagera Sugar (Yanga 2 - 1 Kagera Sugar).
Mabingwa watetezi Ligi Kuu Tanzania Bara Young Africans, wamerudi
kileleni rasmi baada ya kuwachakaza wapinzani wao Kagera Sugar bao 2-1
mchezo uliochezwa katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Timu ya Yanga iliwez… Read More
0 comments:
Post a Comment