Video: Ebitoke athibitisha kufunga ndoa na Ben Pol.
Baada ya msanii Shilole kutangaza kufunga ndoa wakati wowote, naye
mchekeshaji kutoka Timamu, Ebitoke amedai kuwa anatarajia kufunga ndoa
na mkali wa RnB Bongo, Ben Pol wakati wowote.
Akiongea na Bongo5 Ebitoke ameeleza…Read More
Ruge na RC Makonda uso kwa uso.Baada ya kutokuwa na maelewano mazuri kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es
salaam, Paul Makonda na Mkurugenzi wa vipindi wa Media Clouds Group.
Hatimae leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe
Magufuli amewataka …Read More
0 comments:
Post a Comment