Home »
Michezo
» Kikosi cha Young African SC kimewasili nchini Algeria tayari kwa mchezo wake.Fahamu zaidi hapa.
Young African SC wakiwa wamewasili nchini Algeria kwa ndege ya kukodi wakitokea Uturuki katika mji wa Antalya ilipo kambi yao.
Kikosi
kizima kipo salama , Vicent Bossou aliungana na wenzie nchini Uturuki
hapo jana!Yanga Afrika watashuka dimbani tar 19, june (Jumapili)saa 6:15
usiku kwa saa za hapa Tanzania kukwaana na MO Bejaia katika mchezo wa
kwanza wa michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika.
Related Posts:
Sakata la Manula Kusaini Simba..Azam Watoa Tamko Hili.
Afisa Habari wa klabu ya Azam, Jaffar Iddi amefunguka na kukanusha
taarifa zinazoendelea mitaani kuwa kipa namna moja wa Azam FC, Aishi
Manula amesaini mkataba na klabu ya Simba na kudai kuwa mchezaji huyo
bado atabaki … Read More
Eh..Kumbe Mrisho Ngasa Yupo Yanga kwa Makubaliano Haya Eti.
WINGA aliyekipiga Mbeya City msimu uliopita, Mrisho Ngassa, amerejea
kwenye klabu yake ya zamani ya Yanga na leo amejumuishwa kwenye kikosi
hicho kilichocheza na Tusker kwenye michuano ya Super Cup, katika Uwanja
wa Uhu… Read More
Mashabiki 400 wa Juventus Waanguka kwa Presha Turin Baada ya Timu Yao kuchakazwa Goli 4-1 na Madrid Jana.
Zaidi ya Mashabiki 400 wa Juventus wameripotiwa kuzirai baada ya timu
yao kupokea kipigo cha aibu cha mabao 4-1 kutoka kwa Real Madrid jana
Jumamosi.
Mashabiki mbalimbali walikusanyika maeneo mbalimbali kufuatilia mec… Read More
Issue ya John Bocco na Okwi Kusaini Simba...Hans Poppe Aanika Mambo Yote Hadharani.
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Mabingwa wa Kombe la Shirikisho
nchini Simba SC, Zakaria Hans poppe amekanusha timu yake kuwasajili
wachezaji Aishi Manula, John Bocco, Shomari Kapombe pamoja na Emmanuel
Okwi na kusem… Read More
MSUVA AFUNGUKA HAYA JUU YA TIMU TATU ZA KIMATAIFA ZINAZOMUHITAJI.
Timu tatu kutoka katika nchi tatu, sasa zinataka kumsajili kiungo wa pembeni wa Yanga, Simon Msuva.
Timu hizo zinatokea katika nchi za Morocco, Misri na Afrika Kusini na Msuva amethibitisha hilo.
Akizungumza na M… Read More
0 comments:
Post a Comment