Sunday, 22 January 2017

Diva ndani ya Penzi Jipya na Mwanamuziki wa Bongo Flava.Fahamu zaidi hapa.

Diva ndani ya Penzi Jipya na mwanamuziki wa Bongo Flava anayejulikana kama Heri Muziki, penzi la wawili hao lilianza baada ya Diva kumwalika Mwanamuziki huyo katika kipindi cha Ala za roho kinachorushwa na Redio ya Clouds Fm.

Diva amepost ushahidi wa penzi lao kw kupost video wakidendeka na kuandika haya hapa chini
.
#Regrann from @divathebawse - @herimuziki is The Key to My Happiness .. i chose to be Happy 💞


Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

Related Posts:

  • Wastara amlilia Rais Magufuli baada ya kutapeliwa milioni 80 na kampuni ya simu. Msanii wa filamu Wastara Juma amepaza sauti yake ya kutaka kusaidiwa pesa ya matibabu na Rais John Pombe Magufuli baada ya kutapeliwa na kampuni moja ya simu ambayo ilimteua kama balozi wa bidhaa zao. Muigizaji huyo … Read More
  • Chege Akiri Kuathirika. Msanii Mkogwe kutoka TMK Chege Chigunda amekiri kuwa aliathirika kisaikolojia baada ya kundi la TMK Wanaume Family kuanza kuvunjika. Chege ametoa kauli hiyo leo akiwa ndani ya Planet Bongo ya East Africa radio na kusema… Read More
  • Lucy Kombaa Kumzalia Mtoto Mzungu Wake. MSANII wa filamu Bongo, Lucy Komba ambaye kipindi cha nyuma aliweka ngumu kumzalia mzungu wake, sasa anadaiwa kuwa kwenye mkakati mzito wa kusaka mtoto baada ya mwanaume huyo na familia yake kuchachamaa azae. Akizungumza… Read More
  • Tunda: Nipo Tayari Kuwa Mke wa Mtu. MUUZA nyago aliyejizolea umaarufu kutokana na vituko vyake, Tunda Sebastian, amefungukia kubadili muonekano wake kuwa, amefanya hivyo ili kukwepa kuonekana na mwili wa kitoto tena. Akizungumza na Star Mix,Tunda alisema k… Read More
  • Watu Washtushwa na Muonekano Mpya wa Wowowo la Ruby. Jana msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Ruby kupitia ukurasa wake wa Instagram aliposti picha ikimuonesha mwenye umbo kubwa tofauti na muonekano wake wa siku zote. Picha hiyo ambayo ni ya kwanza kwa mwaka 2018 kwa msanii h… Read More

0 comments:

Post a Comment