Friday 20 January 2017

BIFU KALI : CHADEMA WAANZISHA KAMPENI YA KUUPINGA MTANDAO WA VODACOM,WATAKA WATU WATUPE LINE ZA VODA.FAHAMU ZAIDI HAPA.

::Voda bye bye:: #VunjaLineYaVoda. #StopVodacom
Kuhusu Vodacom kuwa shahidi upande wa Jamhuri
Kampuni ya simu ya vodacom imekubali kutoa ushahidi dhidi ya kesi inayomkabili Mh Lema mbunge wa Arusha mjini!
Kampuni ya iphone ya Marekani ilikataa kutoa ushirikiano kwa Serikali ya Marekani kwa kuwa kufanya hivo ni kuingilia uhuru binafsi wa wateja!
Hapa kwetu kampuni kubwa yenye wateja zaidi ya 4mil inatoa siri za wateja wake….
Nini maoni yako?
*VunjaLineYaVoda*
*StopVodacom*
By
Nanyaro EJ
Source JF


Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi


Bonyeza Hapa CLICK HERE

                              Follow me instagram 

 

0 comments:

Post a Comment