Home »
Habari Moto
» Hivi Ndivyo Obama Alivyomuaga Trump na Kumuachia Ikulu ya Marekani..!!!..Fahamu zaidi hapa.
Wakiagana.
Kutoka
kushoto ni First Lady Melania Trump, Karen Pence, Rais Donald Trump,
Makamu wa Rais Mike Pence, Barack Obama, Joe Biden, Michelle Obama na
Jill Biden wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kupanda helikopta.
Obama
na Trump (katikati) wakiekea katika helikopta wakifuatwa nyuma na
Makamu wa Rais Pence na aliyekuwa makamu wa rais Joe Biden.
Safari ya Obama na mke wake ikianza kuelekea katika helikopta.
Muonekano wa helikopta hiyo kwa karibu.
Viongozi hao wakiagana.
Wakiagana.
Trump akiwaaga Wamarekani.
Obama akiwaaga kabla ya kuondoka.
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi
Related Posts:
Soma Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Jumatatu.
26 Job Opportunities at Tanesco TanzaniaJob Opportunity at Tigo Tanzania, Regional Distribution CoordinatorJob Opportunity at EGPAF, Project CoordinatorJob Opportunity at EGPAF, Health Information System (HIS) OfficerJob Op… Read More
Korea Kaskazini: Tunaweza Kushambulia Eneo Lolote Marekani.
Korea Kaskazini imesema kuwa imefanikiwa kulifanyia majaribio kombora lake la masafa marefu ambalo linaweza kufika eneo lolote la Marekani.Runinga ya kitaifa nchini humo imesema kuwa Pyongyang sasa imefanikiwa kuafikia azim… Read More
Inasikitisha Baba Amtoa Kafara Mwanaye Amkata Sehemu za Siri kwa Shoka.
MTU mmoja huko mwenye umri wa miaka 39 huko Chhattisgarh, India, amemtoa kafara mwanaye mdogo katika kitendo cha ushirikiana kwa kumkata uume na sehemu za kichwa kwa shoka hadi kusababisha kifo chake, kwa madai ya kufukuza … Read More
Mabasi ya Mwendokasi Kupanua Wigo Sasa Hadi Sinza, Masaki.
WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) unatarajia kupanua wigo wa usafiri huo kwa kuongeza ruti za Sinza, masaki na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Sambamba na ruti hizo, DART pia inatrajia kuongeza mabasi katika mfumo … Read More
TANESCO Wataja Chanzo cha Kukatika kwa Umeme Dar, Pwani.
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetoa taarifa kwa wateja katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kuwa baadhi ya maeneo hayana umeme kutokana na hitilafu iliyojitokeza.Taarifa ya Tanesco imesema baadhi ya maeneo ya miko… Read More
0 comments:
Post a Comment