Home »
Burudani
» Live Bila Chenga..!!Mtoto wa Mbunge Anaswa Usiku na Golikipa wa Timu ya Mtibwa Sugar Wakipeana Mahaba Mazito+Pichazz.Fahamu zaidi hapa.
Binti wa aliyekuwa Mbunge wa
Mafia, Abdulkarim Shaa (CCM), Naima Shaa amezua balaa kwa mara nyingine
baada ya kunaswa akijiachia kwa mapozi ‘tata’ na golikipa namba moja wa
Timu ya Mtibwa Sugar, Saidi Mohamed ‘Nduda’.
Tukio
hilo lililoacha gumzo kwa muda lilijiri katika Ukumbi wa Maisha
Basement, Kijitonyama, Dar ambapo wawili hao walikuwa wamekwenda
kustarehe.
Kwa kamera ya shushushu wetu, Nduda
alifika ukumbini hapo akiwa na washkaji zake na Naima naye alikuwa
kivyake lakini walipokutana hali ilibadilika na kuanza kufanya yao.
Naima Shaa akiwa na Manyika JR
“Walionesha kama watu waliomisiana
kitambo. Nduda alipomuona Naima tu, alimfuata harakaharaka na kuanza
kupiga naye mapicha tata kabla ya kukumbatiana na kuzungumza kwa muda
huku wengine wakisema kuwa ni mrithi wa aliyekuwa mpenzi wa mwanadada
huyo ambaye ni kipa wa Simba, Peter Manyika Jr,”
“Baada ya kujiachia kwa mapichapicha, wawili hao walipoulizwa kama kwa sasa ni wapenzi hawakuwa tayari kufunguka.
alifunguka shushushu wetu na kuongeza:“Zaidi
sana waliendelea kuburudika kwa muda kabla ya mwishoni kabisa kutokana
na wingi wa watu waliokuwemo ukumbini hapo, haikujulikana mara moja kama
waliondoka pamoja.”
Naima
ambaye aliwahi kuwa mke wa mfanyabiashara wa jijini Dar, Mwanamboka,
aliwahi kuripotiwa kumzidi kete aliyekuwa shosti wake, Wema Isaac Sepetu
na kudaiwa kumpora kigogo wake aliyekuwa maarufu kwa jina la CK.Mbali
na hilo, pia aliwahi kuripotiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na msanii
wa Bongo Fleva, Aslay Isihaka ‘Dogo Aslay’ hadi kujichora tatuu ya
msanii huyo. Baada ya kuachana na Dogo Aslay, Naima alitumbukia kwenye
penzi la Peter Manyika Jr kabla ya uhusiano wao kukata kamba miezi
kadhaa iliyopita.
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#BURUDANI>>>>BOSS WA BONGO STAR SEARCH…KUFILISIWA NA TRA…ANADAIWA BILIONI 7 ZA KODI,KAMPUNI YAFUNGWA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kushirikiana na Kampuni ya
Udalali ya Yono, wameifungia Kampuni ya Benchmark Productions na kuipa
muda wa siku 14, iwe imelipa deni la kodi ya Sh bilioni 7.04, vinginevyo
mali za kam… Read More
#YALIYOJIRI>>>Nay wa Mitego Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Toka Shamsa Ford Kuelewa na Mwanaume Mwingine...Adai Alimwambia Anaenda Kuolewa.Fahamu zaidi hapa.
Akizungumza
katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Ijumaa hii, Nay Wa Mitego amesema
Shamsa ni ‘wife material’ hivyo anamtabiria kudumu katika ndoa yake.
“Ndoa ni kitu cha heri lakini sometime watu wanaweza wakaoana kwa
k… Read More
#BURUDANI>>>>Queen Tipha afunguka baada ya mpenzi wake, Ben Pol kuonekana kwenye picha akibusiana na Snura.Fahamu zaidi hapa.
Latifa Mohamed aka Queen Tipha amefunguka baada ya kusambaa mitandaoni
picha za mzazi mwenzake, Ben Pol akionekana wakibusiana na Snura wakati
walipokuwa mkoani Tabora kwa ajili ya tamasha la Fiesta.
Queen Tipha amekiamb… Read More
#BURUDANI>>>>WEMA Sepetu Akunwa na Wimbo wa Diamond 'Salome' Ajirekodi Akiimba, Diamond Asema Haya.Fahamu zaidi hapa.
Malkia wa filamu Wema Sepetu amekunwa na wimbo mpya wa Diamond Platnumz
‘Salome’ na kuamua kujirekodi video huku akiimba wimbo huo.
Diamond alipost video instagram inayomwonyesha mwigizaji huyo akiimba
wimbo ‘Salome’ huk… Read More
#BURUDANI>>>>Dongo la Diamond Lamtoa Mapovu Aliyekuwa Mume wa Zari Ivan....Meseji zavuja Zari Akimuomba Msamaaa.Fahamu zaidi hapa.
Hali ni Tete Madale....Dongo la Diamond aliloandika kuhusu wale
wanaojisifu kuwa wanahela lakini watoto wao wanaishi kwenye nyumba ya
kupanga limemfikia mwenyewe ambae ni mume wa dhamani wa Zari aitwaje
Ivan , Nime… Read More
0 comments:
Post a Comment