Home »
Habari Moto
» #Breaking News>>>>Treni ya abiria inayofanya safari zake kutoka Dar-Kigoma lapata ajali hivi punde.Fahamu zaidi hapa.
Inaelezwa kuwa Treni ya abiria inayofanya safari zake kutoka Dar-Kigoma almaarufu DElux.
imepata
ajali hivi punde maeneo ya Ruvu mkoa wa Pwani, ikitokea Kigoma kuja
Dar,Hivyo kama una ndugu,jamaa au rafiki aliekuwa akisafiri leo.
Poleni sana kwa mliopata ajali.
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Taarifa Ya Jeshi La Polisi Kwa Umma Kutoka Mkoa Wa Mwanza.Fahamu zaidi hapa.
Tarehe
12.10.2016 majira ya saa 16:35 katika eneo la Busenga “A” kata ya
Buswelu wilaya ya Ilemela jiji na mkoa wa Mwanza, askari walifanikiwa
kumkamata mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Juma Biria miaka 42,
mfanya b… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Makontena 100 Yapitishwa Kinyemela Bandarini Bila Kukaguliwa .....Waziri Mwijage Atoa Siku 4 Wahusiku Wajisalimishe.Fahamu zaidi hapa.
WAZIRI
wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage ametoa siku nne kwa
wafanyabiashara waliopitisha makontena 100 bandarini bila kukaguliwa na
Shirika la Viwango Tanzania (TBS), wakatoe taarifa katika shirika.
… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Serikali Yaiamuru Bodi ya Mikopo Istishe Makato na Imlipe Pesa Zake Mstaafu Aliyekuwa Akikatwa Kimakosa.Fahamu zaidi hapa.
Serikali
imeiagiza Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kusitisha mara
moja makato ya fedha yaliyokuwa yakifanywa kwenye malipo ya pensheni ya
mstaafu Ernest Lameck, katika Chuo cha Ualimu cha Tukuyu kilich… Read More
#YALIYOJIRI>>>Mbowe kuiburuza Serikali mahakamani.Fahamu zaidi hapa.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema
ataiburuza Serikaliya Awamu ya Tano mahakamani ili chombo hicho cha haki
kitoe tafsiri ya vitendo vya ukandamizaji wa demokrasia vinavyof… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Diwani Chadema anaswa na dawa za kulevya, bunduki.Fahamu zaidi hapa.
Jeshi
la Polisi Mkoani Rukwa linamshikilia Diwani wa kata ya Izira, Paschael
Silimba (Chadema) baada ya kumkamata akiwa na dawa za kulevya aina ya
bangi na bunduki moja aina ya gobole.
Kamanda
wa Polisi wa mkoa huo,… Read More
0 comments:
Post a Comment