Saturday, 21 January 2017

Je, Trump Ataweza Kuwatuliza Wamarekani? Hali Yaendelea Kuwa Mbaya Mitaani.Fahamu zaidi hapa.

Ikiwa ni muda mchache baada ya Rais Trump kuapishwa kuwa Rais wa 45 wa Marekani, bado wanaompiga wanaendelea na maandamano dhidi yake.

Je, Trump ataweza kuwatuliza na kuwaunganisha wamarekani kabla hali haijawa mbaya zaidi?

Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi


Bonyeza Hapa CLICK HERE

                              Follow me instagram 

 

0 comments:

Post a Comment