Young killer afunguka haya baada ya watu kuzungumzi nyimbo mpya ya Young killer kuwa John Makini anabebwa haya ndio maneno ya Young killer "katika ngoma yangu akuna mstali ambao unamzungumzia John Makini anabebwa ila nimezungumzia maoni yanayosemekana".
Kimenuka Diamond Azidi Kumpandisha Presha Zari.
Siku
ya September 14, 2017 mpiga picha maarufu wa Diamond Platnumz, Kifesi
alipost picha ya boss wake Diamond kwenye ukurasa wake wa instagram
Picha ambayo alimpiga yeye, baada ya post hiyo mzazi mwenza na mpenzi wa
Dia…Read More
Zari na Diamond Wakorogana Mtandaoni.
WANASEMA
WBC ndio sehemu ambayo burudani nzuri huwa inatoka kwa sana, lakini pia
ndio sehemu ambayo inaongoza kwa drama nyingi sana kuanzia skendo za
hapa na pale na mambo mengine mengi.
Ni Wcb, ambapo wakati ishu ya Ha…Read More
Idris Aingia Kwenye Skendo Mpya ya Kuwachanganya Wema na Sanchi.
MCHEKESHAJI
maarufu Bongo, Idris Sultan amekuwa kwenye tetesi nyingi ambazo
zimekuwa zikiendelea kila kona juu ya maisha yake, ikiwemo mamilioni
aliyoyavuna kwenye Jumba la Big Brother ‘Hotshots’ kwamba yamepukutishwa
n…Read More
0 comments:
Post a Comment