Home »
Habari Moto
» Picha: Meli kubwa ya kisasa ya Azam yatia nanga Bandari ya Tanga kwa mara ya kwanza.Fahamu zaidi hapa.
Meli
mpya na ya kisasa iitwayo AZAM SEALINK 2 aina ya RORO yenye uwezo wa
kubeba abiria wapatao 1650, mizigo uzito wa tani 717 sambamba na magari
150 imetia nanga
Bandari ya Tanga leo.
Meli
hiyo inatarajiwa kufanya safari zake na kutoa huduma za kubeba abiria
na mizigo ikiwemo magari kutoka Pemba kwenda Unguja hadi Tanga mara moja
kwa wiki.
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>>Mvutano wa CCM na CHADEMA Walitikisa Jeshi la Polisi.BAVICHA Yaandaa Zaidi ya Vijana 5000 Kuzuia Mkutano, Polisi Mara Yasema Wanacheza Ngoma ya Kitoto.Fahamu zaidi hapa.
Mvutano
wa kisiasa baina ya vijana wa CCM na CHADEMA kuhusu katazo la mikutano
ya vyama vya siasa umezidi kukua huku jeshi la polisi likitarajiwa
kutoa tamko kuhusu hali hiyo.
Hali hiyo ya jino kwa jino imejito… Read More
#YALIYOJIRI>>>Dereva wa Basi la City Boy Asomewa mashitaka 30 ya Kuua.Fahamu zaidi hapa.
MMOJA
wa madereva waliosababisha ajali ya mabasi ya City Boy Jumatatu
iliyopita katika kijiji cha Maweni wilayani Manyoni, Jeremiah Semfungwe
(34), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Singida akikabiliwa na
mak… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Polisi watano wauawa Dallas, Marekani.Fahamu zaidi hapa.
Maafisa watano wa polisi mjini Dallas, Marekani wamepigwa risasi na kuuawa wakati wa maandamano ya kupinga mauaji ya watu weusi.
Maafisa wengine sita wanauguza majeraha.
Maafisa
wa polisi katika mji ulio katika jimbo l… Read More
#YALIYOJIRI>>>Edward Lowassa ashiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge mstaafu, Beatrice Shelukindo.Fahamu zaidi hapa.
WAZIRI
Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amekuwa miongoni mwa mamia ya
waombolezaji walioshiriki maziko ya mbunge wa zamani, Beatrice
Shelukindo (58) yaliyofanyika nyumbani kwa wazazi wake katika kata ya
Olorien Jijini Ar… Read More
#YALIYOJIRI>>>Taasisi 680 Kufutwa.Zipo za Kidini na za Kisiasa.Fahamu zaidi hapa.
WAKALA
wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), inakusudia kuzifutia usajili
bodi za udhamini 680 za taasisi mbalimbali; ambazo zimekiuka masharti,
ikiwa ni pamoja na kutokuwa hai.
Aidha,
Waziri wa Katiba na Sheria,… Read More
0 comments:
Post a Comment