Home »
Burudani
» Wema ana Nini na Zari?Tazama hapa Alichokisema Juu yake..!!..Fahamu zaidi hapa.
Wema Isaac Sepetu ‘Madam’.
SUPA-STAA
Wema Isaac Sepetu ‘Madam’, amefunguka kuwa anachukizwa na watu
wanaomtolea matusi muigizaji mwenzake, Aunt Ezekiel, baada ya kuhudhuria
sherehe ya kuzaliwa ya mzazi mwenza wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,
Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.
Wema Akiwa katika katika pozi.
Akizungumza na Za Motomoto News, Wema alisema unatakiwa ufike wakati
watu waelewe na waongozwe kwa akili zao za kuzaliwa kwa sababu hakuna
kitu kibaya ambacho amekifanya Aunt, kwa kuwa staa mwenzake huyo kwa
sasa ni mmoja wa familia hiyo.
Aunt Ezekiel akiwa na Zari.
“Jamani hebu naomba kwanza wamuache Aunt,
hana kosa lolote, hata kama ningekuwa mimi hapa nisingeweza kuacha
kwenda kwa sababu tayari ni familia na hawezi kumuacha mumewe aende peke
yake maana vitu vingine ni vya kujiongeza tu, nachukizwa sana na jinsi
wanavyomrushia maneno ya kashfa,” alisema Wema.
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi
Related Posts:
Flaviana Matata Aushtaki Mfuko wa PSPF Mahakamani.Fahamu zaidi hapa.
Mwanamitindo wa Tanzania anayefanya kazi zake nchini Marekani, Flaviana
Matata ameushitaki mfuko wa pensheni wa PSPF mahakamani akitaka alipwe
shilingi milioni 165 kutokana na mfuko kwa kosa la kukiuka mkataba wao
kwa mu… Read More
#BURUDANI>>>>Diamond Platnumz aikataa Mimba ya Lynn LIVE.Fahamu zaidi hapa.
Msikilize Diamond Platnumz Akikana kabisa kuwa na mahusiano na Mrembo
Lynn, Adai hana mawasiliano naye na wala hawajawahi kumuona tena toka
alivyofanya video ya Kwetu na Raymond..
Msikilize Hapa chini:
… Read More
#BURUDANI>>>>Shilole azungumzia bifu la Bill Nas na TID.Fahamu zaidi hapa.
Baada ya TID kudai kuwa Bill Nas hana shukrani, Shilole ameibuka na kumtetea rapper huyo wa label mpya, ‘LFLG’.
Bado Bill Nas amekuwa akisema kuwa aliondoka Rada bila tatizo.
Akiongea na Perfecto TV, Shilole amesema… Read More
#BURUDANI>>>>Busu la Nelly Kamwelu shavuni kwa Diamond akiwa na Wizkid lawatoa povu mashabiki (Video).
Haipiti wiki bila Diamond kuwatoa povu mashabiki, hata kama alichokifanya si kwamba alidhamiria.
Jumanne hii hitmaker huyo wa ‘Kidogo’ alipost video akiwa na starboy,
Wizkid. Haijulikani wamekutana Dar au Afrika Kusini. L… Read More
#BURUDANI>>>>Belle 9 atinga kambi ya WCB, afanya mazoezi na Diamond.Fahamu zaidi hapa.
Baada ya vocalist, Rich Mavoko kusaini WCB ya Diamond, huwenda msanii wa
muziki wa R&B kutoka Morogoro, Belle 9 na yeye akasaini ndani ya
label hiyo.
Muimbaji huyo anayefanya vizuri na wimbo ‘Bugger Movie Selfie’
a… Read More
0 comments:
Post a Comment