Rais Donald Trump ataanza kupitisha maamuzi ya juu kuhusiana na
masuala ya uhamiaji kuanzia Jumatano hii, akianza na kuimarisha ulinzi
wa mpakani, ikiwemo ujenzi wa ukuta mpakani mwa Mexico na Marekani.
Rais huyo pia anatarajiwa kupiga marufuku kwa muda kuingia kwa
wahamiaji kutoka katoka nchi za Kiislamu wanaoweza kuhusika na ugaidi
zikiwemo Syria, Iran, Iraq, Libya, Yemen, Sudan na Somalia.
‘Big day planned on NATIONAL SECURITY tomorrow,Among many other things, we will build the wall,” alitweet.
Uamuzi huo ni miongoni mwa mambo aliyokuwa ameahidi wakati wa kampeni.
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment