Senegal iliyokuwa inapewa nafasi kubwa
ya kubeba ubingwa wa Afcon, imetolewa katika hatua ya robo fainali na
Simba Wasioshindika, Cameroon wamesonga mbele.
Cameroon wamesonga mbele baada ya
ushindi wa penalti 5-4, penalti ya mwisho ya Senegal ilipotelea kwa
nyota wake Sadio Mane anayekipiga katika kikosi cha Liverpool nchini
England.
Kwa Liverpool itakuwa furaha kuu maana
bila Sane mambo yalionekana yanakwenda kombo. Lakini kwa Wasenegali ni
majonzi makubwa wakiwa wanaenda nyumbani.
Katika mechi hiyo, dakika 90 halafu 120 ziliisha kwa sare ya bila mabao huku Senegal ikiwa imepoteza nafasi nyingi za kufunga.
PENALTI ZILIVYOKUWA
SENEGAL
Koulibaly - FUNGA
Kara - FUNGA
Sow -FUNGA
Saivet - FUNGA
Mane - KOSA
CAMEROON
Moukandjo - FUNGA
Oyongo - FUNGA
Teikeu - FUNGA
Zoua - FUNGA
Senegal (4-3-3): Diallo; Gassama, Kara,
Koulibaly, M'Bengue (Ciss 86mins); Gueye, Saivet, Kouyate (Ndiaye 109);
Mane, Diouf (Sow 64), Keita.
Booked: Diouf, Kouyate.
Cameroon (4-3-3): Ondoa; Fai, Teikeu,
Ngadeu-Ngadjui, Oyongo; Siani, Moukandjo, Djoum (Mandjeck 102);
Bassogog, Tambe (Aboubakar 102), Ekambi (Zoua 46).
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment